Pages

Friday, October 5, 2012

UJASILIAMALI

Vijana wengi sikuizi wamepata muamko wa kujiingiza katika swala la ujasiliamali baada ya swala la ijila kuwa tatizo kubwa hapa nchini.Vijana hao wameamua kujishughulisha kwa kufanya biashara mbalambali kama vile kuuza mkaa,urojo,ushonaji nguo,uuzaji nguo pia pamoja nakujishughulisha na maswala ya gereji.

Vijana hao wameamua kujishughulisha wao wenyewe kwa kufanya biashara zao zinazoweza kuwaingizia kipato na kuweza kumudu maisha yao wenyewe kuliko kukaa vijiweni na kujiingiza katika makundi mabaya.

Hizi ni baadhi ya picha zinazo onyesha vijana hao wakiwa katika shughuli zao za kila siku.









































No comments:

Post a Comment