UFUNDI WA UTENGENEZAJI MADILISHA YA VIOO
Ramadhani Athumani ni kijana mwenye umri wa miaka [28] anaejishughulisha na shughuli za ufundi wa kutengeneza madilisha ya vioo.Kijana huyu ameanza kazi hiyo tangu mwaka 2009 alipo hitimu mafunzo yake ya ufundi katika chuo cha VETA kilichopo mkoani Morogoro.
Ramadhani Athumani ameona ni bora ajiajili yeye mwenyewe kwasababu anaujuzi wake wa kutengeneza milango na madilisha ambavyo vinamuingizia kipatokidogo kinachomsaidia kutokana na hali ngumu ya maisha.
Zifuatazo ni picha zinazomuonyesha Ramadhani Athumani akiwa katika kazi yake ya kutengeneza madilisha ya vioo.
No comments:
Post a Comment