Pages

Tuesday, October 23, 2012

MAFUNDI ENJINI WAKIWA KATIKA KAZI ZAO ZA KUTENGENEZA ENJINI YA GARI PAMOJA NA KUREKEBISHA MATAILI KATIKA GEREJI MOJA ILIYOPO ILALA-SHARIFUSHAMBA JIJINI DAR-ES-SALAAM.
































JINSI YA KUDIZAINI MAGETI


Hamisi Saidi,Rashidi Juma na Jacksoni Fredi ni vijana wanaojishughulisha na kudizaini mageti ya aina mbalimbali.Shughuli hii ya kudizaini wameianza tangu mwaka 2008.

Zifuatazo ni picha zinazowaonyesha vijana hoa wakiwa kazini

























Monday, October 22, 2012

UFUNDI WA UTENGENEZAJI MADILISHA YA VIOO

Ramadhani Athumani ni kijana mwenye umri wa miaka [28] anaejishughulisha na shughuli za ufundi wa kutengeneza madilisha ya vioo.Kijana huyu ameanza kazi hiyo tangu mwaka 2009 alipo hitimu mafunzo yake ya ufundi katika chuo cha VETA kilichopo mkoani Morogoro.

Ramadhani Athumani ameona ni bora ajiajili yeye mwenyewe kwasababu anaujuzi wake wa kutengeneza milango na madilisha ambavyo vinamuingizia kipatokidogo kinachomsaidia kutokana na hali ngumu ya maisha.

Zifuatazo ni picha zinazomuonyesha Ramadhani Athumani akiwa katika kazi yake ya kutengeneza madilisha ya vioo.




































Tuesday, October 9, 2012

SANAA

Kikundi cha sanaa kinachojishughulisha na mafunzo ya kupiga miziki ya bendi mbalimbali ya dansi Jijini Dar-es-Salaam wakiwa katika mazoezi yao maeneo ya bungoni-sharifu shamba.




























Friday, October 5, 2012

UJASILIAMALI

Vijana wengi sikuizi wamepata muamko wa kujiingiza katika swala la ujasiliamali baada ya swala la ijila kuwa tatizo kubwa hapa nchini.Vijana hao wameamua kujishughulisha kwa kufanya biashara mbalambali kama vile kuuza mkaa,urojo,ushonaji nguo,uuzaji nguo pia pamoja nakujishughulisha na maswala ya gereji.

Vijana hao wameamua kujishughulisha wao wenyewe kwa kufanya biashara zao zinazoweza kuwaingizia kipato na kuweza kumudu maisha yao wenyewe kuliko kukaa vijiweni na kujiingiza katika makundi mabaya.

Hizi ni baadhi ya picha zinazo onyesha vijana hao wakiwa katika shughuli zao za kila siku.