Mzee Sabri Juma akiwa anasafisha barabara maeneo ya buguruni Jijini Dar es salaam jana asubuhi.
|
Mmoja kati ya wafanyabiashara katika soko la magomeni akiwa katika biashara yake ya samaki
|
Mwajuma Saidi akiwa katika biashara yake ya kumuingizia kipato maeneo ya ilala jijini Dar es salaam.
|
No comments:
Post a Comment